TUMIA UJUZI NA UZOEFU WAKO KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA.

mtaalamu 1

Je una ujuzi, utaalamu au uzoefu ambao unaweza kuongeza thamani kwenye maisha ya wengine?

Je ungependa kutumia ujuzi na uzoefu wako kupata fedha za ziada ukiwa unaendelea kufanya unachofanya sasa?

Kama majibu ya maswali hayo mawili ni ndiyo, basi karibu sana kwenye MTAALAMU NETWORK.

Kupitia mtandao huu wa MTAALAMU utajifunza na kuweza kumiliki blog yako ambayo itakuwezesha kutengeneza kipato cha ziada kwenye mtandao wa intaneti.

Ni rahisi sasa kutengeneza kipato kwenye mtandao wa intaneti kwa kutumia blog na mitandao ya kijamii. Huhitaji kuwa na kitu cha ziada na ulivyonavyo sasa, unachohitaji ni kutumia ujuzi ulionao sasa, kutengeneza maarifa bora na kuweza kutengeneza kipato kwenye mtandao wa intaneti.

Karibu sana kwenye MTAALAMU NETWORK uweze kutengeneza kipato kupitia mtandao wa intaneti.

Kujua huduma za blog tunazotoa BONYEZA MAANDISHI HAYA.

Kusoma makala zetu za mbinu na maarifa ya kutengeneza kipato kupitia mtandao wa intaneti BONYEZA MAANDISHI HAYA.

Kupata kitabu cha JINSI YA KUTENGENEZA FEDHA KWENYE MTANDAO KWA KUTUMIA BLOG, bonyeza maandishi haya.

Tumia ujuzi, utaalamu na uzoefu wako kutengeneza kipato kwenye mtandao wa intaneti kupitia MTAALAMU NETWORK.

KUPOKEA MAKALA NA MAARIFA YA KUTENGENEZA FEDHA KWA BLOG KWENYE EMAIL YAKO JAZA FOMU HAPO CHINI;