Pata Blog Yako Ya Kitaalamu

tengeneza-fedha-kwa-blog

Habari Rafiki,
Hongera kwa kutaka kupata Blog Yako Ya Kitaalamu.

Kupitia mtandao wa MTAALAMU NETWORK, utanaweza kutengenezewa blog yako ya kitaalamu na kuitumia kutoa maarifa na mafunzo na baadaye kutengeneza kipato kwenye mtandao kwa kutumia blog hiyo.

Huhitaji kuwa na utaalamu wowote kuhusu kutengeneza blog au kuendesha mitandao.

Hitaji pekee ni wewe kuweza kuandika, mengine yote tunayafanya sisi, wewe unakuwa na kazi moja tu, kuandika na kutengeneza hadhira yako kupitia utaalamu wako.

Zipo huduma kuu mbili za blog ambazo tunatoa.

HUDUMA YA KWANZA; BLOG KAMILI (BK)

Kupitia huduma ya blog kamili unapata blog yako iliyokamilika kama unavyotaka wewe mwenyewe. Blog hii inakuwa na jina (domain name) unalochagua wewe mwenyewe na inakuwa na email zako maalumu.

Kwa huduma hii utapata yafuatayo;

 1. Blog unayoimiliki wewe kwa asilimia 100, unaweza pia kuifanya kuwa tovuti yako.
 2. Blog yenye anwani unayotaka mwenyewe (domain name).
 3. Blog yako inahifadhiwa kwenye sehemu maalumu ambayo unaimiliki wewe (hosting)
 4. Unatengenezewa na kuunganishiwa mfumo wa email (email list)
 5. Unaunganishiwa blog yako kwenye mitandao ya kijamii.
 6. Unapata ushauri wa namna ya kukuza blog yako na kutengeneza kipato.
 7. Utaunganishwa kwenye kundi maalumu la wasap la mtandao huu wa wataalamu ambapo utapata ushauri kuhusu kuendesha na kukuza blog yako.
 8. Utapata ushauri wa moja kwa moja kwa changamoto yoyote unayopitia kutoka kwa Kocha Makirita.
 9. Unaweza kuihamisha blog hii wakati wowote na kuipeleka popote unapotaka kuiweka.

GHARAMA ZA HUDUMA HII.

Gharama za huduma hii ni kama ifuatavyo;

 1. Anwani ya blog yako (domain name) tsh 50,000/= kwa mwaka.
 2. Sehemu ya kuhifadhi blog yako (hosting) tsh 100,000/= kwa mwaka.
 3. kuitengeneza blog iliyokamilika na kuunganishwa tsh 150,000/=

Jumla ya gharama kwa kuanzia ni tsh 300,000/=

Kila mwaka unalipa tsh 150,000/= kwa ajili ya domain na hosting.

Karibu sana upate huduma hii sasa, piga simu 0717396253 au 0755953887.

HUDUMA YA PILI; BLOG YA MTAALAMU (BM).

Kama huwezi kuanza na blog kamili, unaweza kuanza na blog ya mtaalamu ambayo ni sawa na blog kamili ila tu huweki anwani yako binafsi (domain name) na hutaihifadhi mwenyewe (hosting). Vyote hivi vitafanywa na sisi, wewe utapata blog unayoweza kuitumia kutoa maarifa na kuweza kutengeneza kipato.

Ni huduma ya blog ambayo haikuhitaji wewe kufanya kingine bali kutoa maarifa na kuanza kutengeneza kipato.

Kupitia hudma hii unapata yafuatayo;

 1. Blog yako ya kitaalamu kwa ajili ya kutoa maarifa na taarifa na baadaye kutengeneza kipato.
 2. Jina la blog litaanza na mtaalamu.net na jina la blog yako litafuatia mbele. Kwa mfano www.mtaalamu.net/makirita
 3. Utapata email maalumu za blog yako zinazoishia na mtaalamu.net kwa mfano makirita@mtaalamu.net
 4. Utatengenezewa EMAIL LIST kwa ajili ya kukusanya taarifa na mawasiliano ya wasomaji wako, ambayo unaweza kuyatumia kufanya nao biashara.
 5. Blog yako itaunganishwa na mitandao ya kijamii unayotumia, hivyo ukiweka makala inakwenda moja kwa moja kwenye mitandao hiyo.
 6. Utaunganishwa kwenye kundi maalumu la wasap la mtandao huu wa wataalamu ambapo utapata ushauri kuhusu kuendesha na kukuza blog yako.
 7. Utapata ushauri wa moja kwa moja kwa changamoto yoyote unayopitia kutoka kwa Kocha Makirita.
 8. Unaweza kuihamisha blog hii wakati wowote na kuipeleka popote unapotaka kuiweka, au kuifanya kuwa blog kamili (BK)

Gharama za huduma hii;

Kwa huduma ya blog ya mtaalamu, unalipa gharama ya tsh 30,000/= kutengenezewa blog yako. Na kila mwezi unalipa tsh 5,000/= kama ada ya mwezi ya kutumia huduma hii ya mtaalamu blog.

Karibu sana upate huduma hii sasa, piga simu 0717396253 au 0755953887.

NJIA YA MALIPO.

Kulipia huduma yoyote ya MTAALAMU NETWORK, tumia namba zifuatazo;

MPESA = 0755 953 887 (JINA; AMANI MAKIRITA)

TIGO PESA = 0717 396 253 (JINA; AMANI MAKIRITA)

AIRTEL MONEY = 0717 396 253 CHAGUA KUTUMA KWENDA TIGO PESA.

Ukishatuma fedha tuma ujumbe kwa njia ya wasap kwenye namba 0717 396 253 ili kupata huduma ya mtaalamu network uliyochagua.

Karibu sana kwenye mtaalamu upate jukwaa la kutoa taarifa na maarifa unayoweza kuyatumia kutengeneza fedha kwenye mtandao.

Rafiki na Kocha wako,

Makirita Amani,

makirita@kisimachamaarifa.co.tz

 

 
KUPOKEA MAKALA NA MAARIFA YA KUTENGENEZA FEDHA KWA BLOG KWENYE EMAIL YAKO JAZA FOMU HAPO CHINI;